KOSA LA KUCHAPISHA NA KUSAMBAZA TAKWIMU KINYUME NA SHERIA YA TAWIMU


SHERIA YA TAKWIMU NO.9 YA MWAKA 2015

Kifungu no. 37(2)

Mtu yeyote bila mamlaka halali anachapisha au kutoa na kusambaza taarifa za takwimu ambazo kwa ufahamu wake kwa watu wengine kinyume na utaratibu wa sheria ya takwimu tofauti na utaratibu wa sheria kutoa taarifa au kuchapisha sheria huyo mtu atakuwa ametenda kosa la jinai atawajibika kulipa faini ya shiling Milion 5 au kutumikia kifungo kisichopungua mwezi kumi na mbili, au vyote kwa pamoja.
kuwa makini katika kueneza na kusambaza taarifa unazozipata 
kwa maelezo zaidi tembelea.
Mkumbushe na rafiki yako ili nawe asije akanaswa

Comments

Popular posts from this blog

Haki na Wajibu wa Mtoto kisheria kulingana na sheria ya Mtoto ya Mwaka 2009

KOSA LA KUGHUSHI NA ADHABU YAKE

MAKOSA YASIYO NA DHAMANA(NON BAILABLE OFFENCES)