SABABU ZA KISHERIA ZA KUKAMATWA KWA MASOUD KIPANYA



SABABU ZA KISHERIA ZA KUKAMATWA KWA MASOUD KIPANYA

Sheria ya Huduma Za Vyombo Vya Habari kifungu namba 33(1) kinasema





Mtu ataonekana amechapa jambo la kashifa ikiwa mtu huyo amesababisha kuchapishwa, kuandikwa, kuchorwa, kutengenezwa karagosi au kwa namna nyingine yeyote ambayo suala la kashifa limewasilishwa au limeshighulikiwa ama kwa maonyesho kusomwa kunakiliwa au kuelezwa kupokelewa au vinginevyo kwa njia ambayo maana ya kashfa tajulikana au inaweza kujulikana kwa mtu aliyekashifiwa au mtu mwingine yeyote




haitakuwa lazima kwamba uchapishaji au utangazaji wa kashifa kwa waziwazi au kikamilifu. 


hiyo ndio sababu 




Lakini pia ni uhuru wake wa kikatiba Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 katika Ibala ya


18.-(1) Bila ya kuathiri sheria za nchi, kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake, na kutafuta, kupokea na kutoa habari na dhana zozote kupitia chombo chochote bila ya kujali mipaka ya nchi, na pia ana uhuru wa mawasiliano yake kutoingiliwa kati.


Hapa sheria imesema kila mtu haijalishi ni askofu, mchungaji au shehe ana haki ya kikatiba ya kutoa maoni yake


Comments

Popular posts from this blog

KOSA LA KUGHUSHI NA ADHABU YAKE

Haki na Wajibu wa Mtoto kisheria kulingana na sheria ya Mtoto ya Mwaka 2009

MAKOSA YASIYO NA DHAMANA(NON BAILABLE OFFENCES)