KOSA KUSHANGILIA AU KUCHOCHEA WATU WANAOTENDA UHALIFU (SOLICITATION AND INCITEMENT)

JE WAJUA KUWA KUSHANGILIA AU KUCHOCHEA AU KUSHADADIA WATU WANAPIGANA AU KUTENDA UHARIFU NI KOSA LA JINAI.
Pamoja na Tanzania kuwa nchi ya amani lakini pia watu wameendelea kutenda makosa ya jinai yanayo hatarisha amani bila kujua na kuchochukuliwa hatua za kisheria kwa sababu matukio haya yanafahamika lakini hayaripotiwi.

Kanuni Ya Adhabu 390. Mtu yeyote ambaye anamshawishi au anamchochea mtu mwingine kutenda kosa, atakuwa anatenda kosa bila kujali kwamba ushawishi au uchochezi huo hauna madhara.

Comments

Popular posts from this blog

KOSA LA KUGHUSHI NA ADHABU YAKE

Haki na Wajibu wa Mtoto kisheria kulingana na sheria ya Mtoto ya Mwaka 2009

MAKOSA YASIYO NA DHAMANA(NON BAILABLE OFFENCES)