Posts

Showing posts from January, 2018

Justifiable reasons for termination under labour law

Image
TERMINATION OF EMPLOYMENT Termination means the act of bringing a contract of service to an end. It must be understood that this is due to procedures other than disciplinary measures. When a contract is brought to an end through disciplinary measures it is called dismissal. Therefore the points of determination here is otherwise than the ones governed by the Security of Employment Act. This is because the Employment Ordinance is not concerned with disciplining the employees but the Security of Employment Act deals with disciplinary matters. Termination of employment should only take place in cases of serious or repeated misconduct, when the employer is justified in concluding that the misconduct has made the employment relationship intolerable to be continued. When considering whether a termination for misconduct is fair, the chairperson should consider the following; 1. Whether the employee contravened a rule or standard regulating conduct relating to employment. 2. If

ALLAN T. MATERU APPELLANT/APPLICANT VERSUS AKIBA COMMERCIAL BANK RESPONDENT

IN THE HIGH COURT OF TANZANIA AT DAR ES SALAAM CIVIL APPEAL NO. 114 OF 2002 ALLAN T. MATERU APPELLANT/APPLICANT VERSUS AKIBA COMMERCIAL BANK RESPONDENT RULING ORIYO. J The applicant, Allan Materu, sued his former employer, Akiba Commercial Bank, for special and general damages arising from termination of employment. The claim filed at the Kisutu Resident Magistrate's court as Civil Case No. 70 of 2001 was determined in favour of the respondent. The applicant was dissatisfied and filed Civil Appeal No. 114 of 2002 against the trial court decision. The Memorandum of Appeal contained two complaints against the trial court decision:- 1. That the trial court erred in deciding that the termination of the appellant's employment had no connection with the criminal case facing the appellant. 2. The trial court erred in deciding that it was not mandatory for the respondent to suspend the appellant while facing criminal charges.  Parties were grante

DIRECTOR OF PUBLIC PROSECUTIONS v ELIATOSHA MOSHA AND ANOTHER 1984 TLR 28 (CA)

DIRECTOR OF PUBLIC PROSECUTIONS v ELIATOSHA MOSHA AND ANOTHER 1984 TLR 28 (CA) Court Court of Appeal of Tanzania - Mwanza Judge Nyalali CJ, Mustafa JJA and Kisanga JJA November 28, 1984 CRIMINAL APPEAL 24 OF 1983  B   Labour Law - Employment Ordinance - Complainant driving and keeping respondent's taxi and retaining 20% of earnings - Whether relationship of Employer and employee existed to attract prosecution for breaches of the Employment Ordinance.  C   [zHNz] Headnote This is a second appeal by the Director of Public Prosecutions and it concerns a case in which the respondents were charged in the District Court at Mwanza for breaches of certain provisions of the Employment Ordinance, Cap. 366, and the Regulation of Wages and Terms of Employment  D  Ordinance, Cap. 300 and the Workmen's Compensation Ordinance, Cap. 263. Detailed facts appear in the judgment. Held: To enable the court to decide satisfactorily whether, on the facts, there existed in l

I.S. MSANGI V. JUMUIYA YA WAFANYAKAZI AND WORKERS DEVELOPMENT CORPORATION 1992 TLR 259 (CA)

I.S. MSANGI V. JUMUIYA YA WAFANYAKAZI AND WORKERS DEVELOPMENT CORPORATION 1992 TLR 259 (CA) Court: Court of Appeal of Tanzania - Dar Es Salaam  Judge: Makame JJA, Kisanga JJA, Omar JJA  26th August, 1992 H  [zFNz]Flynote Tort - Defamation - Defence of qualified privilege - Publication to a person not having corresponding interest and duty to receive the publication - Whether defence available Labour Law - Employment - Wrongful termination - Employee's right to be heard before termination. 1992 TLR p260 [zHNz]Headnote The appellant sued the respondents in the High Court for defamation and wrongful A termination of employment. The basis of his suit for defamation was that a defamatory statement relating to him was published to persons not having corresponding interest and duty to receive the publication. The defamatory statement was contained in a probe B team report which instead of being published to the general council of JUWATA whic

Makosa yahusuyo udhalilishaji na yafananayo na hayo

Image
(a) Katika Kifungu cha 89 cha Sheria hiyo inatamkwa kwamba mtu yeyote anayetumia lugha ya kudhalilisha aidha kwa kutamka au kwa ishara dhidi ya mtu yeyote katika hali ambayo inaweza kusababisha uvunjifu wa amani, mtu huyo atakuwa ametenda kosa la jinai na atakapotiwa hatiani atatumikia adhabu ya kifungo cha miezi sita jela. (b) Katika kifungu cha 135 Sheria hiyo inatamkwa kwamba mtu yeyote atakayemdhalilisha mtu yeyote kwa kumbughudhi aidha kwa kutumia maneno, sauti au ishara au kitu kitakachoashiria matusi na endapo atapatikana na hatia kwa kosa hilo atapewa adhabu ya kifungo cha muda wa miaka mitano au kulipa faini ya fedha kwa kiasi kisichozidi shilingi laki tatu au adhabu zote mbili kwa pamoja. (c) Katika Kifungu cha 138 D inatamkwa kwamba ni kosa la jinai kwa mtu yeyote kufanya udhalilishaji wa kijinsia kwa mtu mwingine. Mtu yeyote mwenye dhamira ya kutenda uovu endapo atamshambulia mtu yeyote aidha kwa maneno au vitendo kwa nia ya kumuudhi au kumdhalilisha kujinsia mtu huyo ataku

SABABU ZA KISHERIA ZINAZOANGALIWA NA MAHAKAMA KATIKA KUTOA TALAKA

Image
SABABU YA KUTOA TALAKA MAHAKAMANI Kabla ya kupeleka shauri au maombi(petition) mahakamani ya talaka, mwanandoa husika hana budi kufuata au kuzingatia hatua zifuatazo; a) kufungua au kupeleka malalamiko kwenye Baraza la Usuluhishi la Ndoa kwa mfano Bakwata, kanisani,Ustawi wa Jamii au Baraza la Kata.  b) Baraza litasikiliza, na endapo litashindwa mapatano au muafaka kati ya wanandoa hao, basi baraza litatoa cheti ambacho kitaeleza kuwa limeshindwa kusuluhisha mgogoro wa ndoa na kuomba mahakama kuendelea kutoa talaka.  c) Baada ya mwanadoa mmoja kupata cheti hicho basi atatakiwa atayarishe madai ya talaka akionyesha kuwa kulikuwa na ;-  Ndoa halali,  Kuna mgogoro kati yao, watoto,  Mali walizochuma wakati wa ndoa yao,.  Muombaji huyo ataiomba mahakama hiyo itoe amri ya talaka, mgawanyo wa mali zilizochumwa kwa nguvu za pamoja,mamlaka ya kukaa na watoto na matunzo yao,gharama za madai / shauri. Ili mahakama itoe talaka sababu kadha huangaliwa na mahakama. Sababu hi

TOFAUTI YA KISHERIA ILIYOPO KATI YA KUTENGANA NA TALAKA( Separation and divorce) KULINGANA NA SHERIA YA NDOA YA MWAKA 1971

Image
TOFAUTI YA KUTENGANA NA TALAKA KUTENGANA  Kutengana si talaka. Kutengana maana yake ni hali ambayo mke na mume hukaa mbalimbali. Kukaa mbalimbali au kutengana kwaweza kuwa kwa mapatano kati ya wanandoa hao au kutengana kwaweza kuwa kwa amri ya mahakama. Mahakama itatoa amri hiyo endapo mmoja wao atapeleka maombi mahakamani. Faida ya kutengana wote au mmoja wao waweza au aweza kutambua makosa na baadaye kukata shauri kurudiana au kuishi tena.  Kutengana kwa mapatano ,  Ni kutengana kwa hiari yao wenyewe bila shuruti.  Mapatano hayo yaweza kuwa ya maandishi au ya mdomo. Mambo kadha yaweza kuzingatiwa wakati wa makubaliano kama; heshima kwa kila mmoja, matumizi / matunzo,watoto kama wapo watakaa na nani, mali ya pamoja je itatunzwa namna gani na kutobughudhiana.  Kutengana kwa amri ya mahakama , hii ni hali ya mume na mke kutengana kwa amri ya mahakama na mahakama imeridhika kuwa ndoa imevunjika. Ushahidi wa kuwa ndoa imevunjika ni ushahidi ambao unaweza kutolewa mbele ya

HAKI ZA MPANGAJI

Image
uhusiano uliopo kati ya mwenye nyumba na mpangaji ni ule wa kimkataba(contractual relation), mahusiano haya ya kimkataba yanaweka wajibu kwa mpangaji na mwenye nyumba wake, lakini pia mpangaji na wmenye nyumba kila mmoja ana haki yake na jukumu lake kimkataba Sheria ya Ardhi ya Mwaka 1999(Land Act), Sheria Ya Usajili wa Ardhi (Land Registration Act) zinatambua majukumu na haki za mpangaji wa nyumba Jukumu na Wajibu wa Mpangaji katika Nyumba ni 1.Kulipa Kodi 2.Kutoharibu miondombinu ya nyumba 3.Kutunza mazingira ya Nyumba na mazingira ya nyumba 4.Haruhusiwi kukata miti ya mwenye nyumba haki za mpangaji ni pamoja na kuishi bila kubughudhiwa (quite enjoyment of the leased premise) kama ilivyo elezwa na kifungu 88(1)(d) cha sheria ya Ardhi ya mwaka 1999. kuishi nyumba iliyokatika hali nzuri ( fit for human habitation) ni jukumu la mwenye nyumba kurekebisha na kufanyia marekebisho(repair) nyumba aishiyo mpangaji wake. endapo miezi sita ikapita bila kufanya marekebisho bhasi mpanga

SHERIA ILIYOMPA RAISI MAGUFURI MAMLAKA YA KUWASAMEHE PAPI KOCHA NA BABU SEYA

Image
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ibara ya 45 (1) (a-d) imempa mamlaka Rais kusamehe wafungwa kwa masharti, adhabu yote au sehemu ya adhabu aliyopewa mtu yeyote kwa kosa lolote, ambayo alistahili kupewa na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. (a) Raisi ana mamlaka ya kutoa msamaha kwa mtu yeyote aliyepatikana na hatia mbele ya mahakama kwa kosa lolote, na aweza kutoa msamaha huo ama bila ya masharti au kwa masharti, kwa mujibu wa sheria; (b) Raisi ana mamlaka Ya kumwachilia kabisa au kwa muda maalum mtu yeyote aliyehukumuwa kuadhibiwa kwa ajili ya kosa lolote ili mtu huyo asitimize kabisa adhabu hiyo au asitimize adhabu hiyo wakati wa muda huo maalum; (c) Raisi ana mamlaka kuibadilisha adhabu yoyote aliyopewa mtu yeyote kwa kosa lolote iwe adhabu tahafifu; (d) Raisi ana mamlaka kufuta adhabu yote au sehemu ya adhabu yoyote. Kanuni ya Adhabu Kifungu 3(5) uwezo wowote wa Rais kutoa msamaha wowote au kupunguza adhabu au kubadilisha adhabu yote au se

MAKOSA YA KISHERIA YAHUSUYO IMANI, dini au dhehebu

Image
MANENO YANAYOUDHI AU KUKEJERI DINI AU IMANI YA WATU WENGINE Kanuni ya Adhabu Kifungu 129. Mtu yeyote ambaye kwa dhamiri hasa ya kumuudhi mtu yeyote juu ya imani yake ya dini akatamka maneno yoyote au akafanya sauti yoyote itakayosikiwa na mtu huyo au akafanya ishara mbele ya mtu huyo au akaweka kitu machoni pa mtu huyo, mtu afanyae hivyo amekosa kosa dogo na atapasiwa kifungo cha mwaka mmoja. unaruhusiwa kuhubiri au kueneza au kufanya mikutano au mihadhara ya dini au injili lakini huruhusiwi kukejeri kubeza au kudhalilisha dini au imani ya mtu mwingine, ukifanya hivyo adhabu yake ni kifungo, unashauri na mimi kuwa ni haki yako yako ya kueneza imani yako na kuwahubiri wengine lakini hakikisha maneno yako au vitendo vya havidhalilishi, kukebehi imani za watu wengine Kanuni ya Adhabu KIfungu 125. Mtu yeyote ambaye atavunja, kuharibu au kuchafua mahali popote pa kuabudia a kitu chochote kinachoitakidiwa kitakatifu na watu wa aina yoyote kusudi la kusasfihi din

SABABU ZA KISHERIA ZA KUKAMATWA KWA MASOUD KIPANYA

Image
SABABU ZA KISHERIA ZA KUKAMATWA KWA MASOUD KIPANYA Sheria ya Huduma Za Vyombo Vya Habari kifungu namba 33(1) kinasema Mtu ataonekana amechapa jambo la kashifa ikiwa mtu huyo amesababisha kuchapishwa, kuandikwa, kuchorwa, kutengenezwa karagosi au kwa namna nyingine yeyote ambayo suala la kashifa limewasilishwa au limeshighulikiwa ama kwa maonyesho kusomwa kunakiliwa au kuelezwa kupokelewa au vinginevyo kwa njia ambayo maana ya kashfa tajulikana au inaweza kujulikana kwa mtu aliyekashifiwa au mtu mwingine yeyote haitakuwa lazima kwamba uchapishaji au utangazaji wa kashifa kwa waziwazi au kikamilifu.  hiyo ndio sababu  Lakini pia ni uhuru wake wa kikatiba Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 katika Ibala ya 18.-(1) Bila ya kuathiri sheria za nchi, kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake, na kutafuta, kupokea na kutoa habari na dhana zozote kupitia chombo chochote bila ya kujali mipaka ya nchi,

Uhuru wa kutoa maoni ni haki ya kila mmoja haijalishi ni shehe, mchungaji au askofu

Image
UHURU WA KUTOA MAONI Ni haki ya kikatiba kabisa inatambuliwa kisheria Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 katika Ibala ya 18.-(1) Bila ya kuathiri sheria za nchi, kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake, na kutafuta, kupokea na kutoa habari na dhana zozote kupitia chombo chochote bila ya kujali mipaka ya nchi, na pia ana uhuru wa mawasiliano yake kutoingiliwa kati. Hapa sheria imesema kila mtu haijalishi ni askofu, mchungaji au shehe ana haki ya kikatiba ya kutoa maoni yake Pia Ibala 21(2) Kila raia anayo haki na uhuru wa kushiriki kwa ukamilifu katika kufikia uamuzi juu ya mambo yanayomhusu yeye, maisha yake au yanayolihusu Taifa. Kanuni Ya Adhabu kifungu namba 63B(1) Mtu hatakuwa ametenda kosa la uchochezi kama atatoa maoni (a) kuonyesha kwamba Serikali imeongozwa vibaya au imekosea katika mwendo wake; au (b) kutaja makosa au upungufu katika Serikali au siasa ya Serikali au Katiba ya Tanganyika kama ilivyowekwa na sheria, au sheria yoyote